@sikapendi
sikapendi nakapenda
2 months ago
Wamelia vya kutosha jamani, enzi za JPM hadi leo waajiri wameikataa kampuni na eti media zote zimefungwa midomo juu ya kuripoti suala hili, hii video tayari ina marehemu watano hapo je nani awasaidie kupata haki zao halali ? Changieni mawazo Wafanye nini?
0
0
1