sikapendi nakapenda Profile
sikapendi nakapenda

@sikapendi

Followers
32
Following
343
Media
63
Statuses
1,266

Germstones Miner , Sports Coach, Youths Development , Family Man

Joined October 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@sikapendi
sikapendi nakapenda
9 days ago
Mara nyingi nasema wahuni wa Facebook utawajua lugha zao... angalia kama huyu 🤔 halafu ndio unataka ku exchange views na yeye...hatari sana!
Tweet media one
0
0
0
@sikapendi
sikapendi nakapenda
a month ago
Wamelia vya kutosha jamani, enzi za JPM hadi leo waajiri wameikataa kampuni na eti media zote zimefungwa midomo juu ya kuripoti suala hili, hii video tayari ina marehemu watano hapo je nani awasaidie kupata haki zao halali ? Changieni mawazo Wafanye nini?
Tweet media one
0
0
1
@sikapendi
sikapendi nakapenda
a month ago
SISI TULIOKAMILISHA KUJAZA FOMU ZA UKARANI WA SENSA MBONA HATUJUI TARATIBU ZA KUPATA MAJIBU? MBONA KIMYA SANA...AU YALITOKA?
0
0
1
@sikapendi
sikapendi nakapenda
2 months ago
Ukiambiwa U Google halafu upendekeze kocha anayeujua mpira wa Africa na mwenye uwezo wa kuwafikisha Simba fainali ya mabingwa Africa ... utamchagua kocha gani achukuliwe na Simba ?
0
0
1
@sikapendi
sikapendi nakapenda
4 months ago
Tweet media one
1
0
2
@sikapendi
sikapendi nakapenda
4 months ago
Tweet media one
0
0
1