Balozi 4.0 Profile Banner
Balozi 4.0 Profile
Balozi 4.0

@BaloziMtaa

Followers
161,679
Following
1,253
Media
3,725
Statuses
168,288

Joined October 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@BaloziMtaa
Balozi 4.0
a year ago
Chuki Zao Ziko kwenye Utani sikiliza Kwa Makini Pindi wanapokutania.
78
273
2K
@BaloziMtaa
Balozi 4.0
23 days ago
Migodi 336 nchini yanufaika na Mradi Wa umeme kupitia mawakla wa umeme vijijin ambapo serikali imetenga Takribani billion i 6 Ili kazi za uchimbaji wa Madini nchini zifanyike Kwa tija na kukuza uchumi wa nchi.
Tweet media one
35
21
258
Balozi 4.0 Retweeted
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
24 days ago
#NipeDili Nesi anatafutwa Rt mahitaji anaweza kuwa kwenye TL yako.
Tweet media one
4
47
117
Balozi 4.0 Retweeted
@BobMchelsea
Bob
24 days ago
Ndani ya Vways tukimwagilia moyo... njoo nikuhudumie 🤣🤣🤣 #TakeABiteOutOfLife #PaidPartnershipWithDiageo #DrinkBetterNotMore #TheOnlyLiteWithABite #SerengetiPremiumLite Kunywa kistaarabu Haiuzwi kwa walio na umri chini ya miaka 🔞
Tweet media one
1
16
48
Balozi 4.0 Retweeted
@anuskills3
Kidudu Mtu JŔ 
24 days ago
Haloo!!Niletee Tully’s wine Nyingine naona hii naelekea kuimaliza.!🔥
Tweet media one
13
15
369
@BaloziMtaa
Balozi 4.0
24 days ago
Unapika vizuri my😂
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
24 days ago
Mnakula usiku lakini?
Tweet media one
25
7
174
4
2
71
@BaloziMtaa
Balozi 4.0
24 days ago
🔥🔥
@itzjacton
Toni Cucurella💙
24 days ago
Ile jezi nyeupe ya Nyumbu ni kali.
3
1
8
0
0
25
Balozi 4.0 Retweeted
@GoodluckVSdream
SIMWENGU THE DREAMER
24 days ago
Upo wewe ambaye tangu asubuhi hadi mda huu wa usiku umefika ujapata chochote katika mapambano yako, nikwambie tu upo wakati wako usijione huna bahati endelea kupambana mwanangu hatima yako ni kubwa sana
8
35
182
Balozi 4.0 Retweeted
@babalao__
Zee la V'yeti (PhD)
25 days ago
Ahsante sana Waziri! Waziri wa Zamani wa Nishati Mhe Medad Kaleman Akimpongeza Waziri wa Nishati Mhe J.Makamba kwa Kuwapatia Mamalishe Jimboni mwake Majiko 100 ya Gesi. Ni kijiji kwa kijiji waziri anapita kuhamasisha nishati ya safi ya kupikia na kutatua kero za nishati.
Tweet media one
11
15
102
Balozi 4.0 Retweeted
@suma_clever
Suma viatu👞
24 days ago
Chuma gani hii?
Tweet media one
15
13
285
@BaloziMtaa
Balozi 4.0
24 days ago
Watu Tunaowapenda Ndo Utuombea Mabaya na Ndo Maadui Zetu Wa Kwanza.
12
26
195
@BaloziMtaa
Balozi 4.0
24 days ago
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
3
3
42
Balozi 4.0 Retweeted
@bajabiri
BaJaBiR
24 days ago
Nawasogezea mchongo wa Filling station ⛽(mambo ya Nishati safi hayo) ipo Mwanambaya km 15 kutoka Mkuranga na km 20 kutoka Mbagala. Ukubwa wa eneo ni 1200 square meter. Kuna ofisi,store na vyumba vya kulala na Vibali vyote Ofa ya #Obaoni ni bilioni 2.2 Nivutie simu 0719021683
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
26
40
272
Balozi 4.0 Retweeted
@babalao__
Zee la V'yeti (PhD)
24 days ago
Waziri wa Nishati Mhe J.Makamba Ameendelea kupita Kijiji kwa Kijiji kutatua kero za upatikanaji wa umeme. Akiwa Busanda, Geita, amewaahidi wananchi kuwa mkandarasi afika hapo mapema mwezi 8 mwaka huu kuanza kazi ya kuwaunganishia umeme.
Tweet media one
0
5
27