John Joseph Pombe Magufuli(Model). Profile
John Joseph Pombe Magufuli(Model).

@1GreatestSeal

Followers
27
Following
251
Media
61
Statuses
270

🇹🇿Mtetezi WawaNyonge Lazima Unyongwe. ☄️🐉

Joined January 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
John Joseph Pombe Magufuli(Model). Retweeted
@KagutaMuseveni
Yoweri K Museveni
5 days ago
I have left Nairobi, Kenya for Entebbe, Uganda following the successful conclusion of the 3rd Heads of State Conclave on the peace and security situation in the Democratic Republic of Congo.
Tweet media one
442
494
4K
John Joseph Pombe Magufuli(Model). Retweeted
@Krisdeek1
Krisdeek
5 days ago
@Snowden Its like they are keeping him alive and in media to show around what happens to you if you doubt and question anything.
4
21
247
John Joseph Pombe Magufuli(Model). Retweeted
@MjahidOsama
MjahidOsama
9 days ago
Huyu ni mmoja hao wanaotumika, kwani kwenye kundi la mamba na kenge nao wamo, kwaiyo haijalishai kueneza propaganda hizi, yani haki itashinda tu, mmasai gani huyo mjinga mpumbavu, wenzako wanatetea haki za ardhi yao wewe unatumika kwa kipande cha keki iliyo chacha inanuka uvundo
8
12
88
John Joseph Pombe Magufuli(Model). Retweeted
@Mo1Frank
Prophet Frank Mo1🇹🇿
9 days ago
Msinisimange sana jamani Kwa kumuomba Mhe Waziri @Nnauye_Nape Bajaji ya mkopo nikweli nina shida nayo ndio maana namulilia mpaka sasa anisaidie, mbona @HKigwangalla alimuomba @moodewji pikipiki? Kwahio kuomba msaada au kuomba mkopo sio Dhambi na sio kosa kisheria naombeni Surppot
Tweet media one
155
37
633
John Joseph Pombe Magufuli(Model). Retweeted
@Shio14Peter
Peter Shio
12 days ago
@IssaShivji Leo mh. Paul kagame amewafukuza wachina nchini mwake kwa kosa la miss treatment of his citizens. Nini nataka kuongelea hapa viongozi na serikali kwa ujumla wanatakiwa kusimamia haki na maslahi ya wananchi , lakini hapa inasikitiaha sana kuona wananchi wakiny’ang’anywa haki yao.
1
2
4
John Joseph Pombe Magufuli(Model). Retweeted
@ledamalekina
Sen. Ledama Olekina
11 days ago
The forceful eviction of our Maasai from their ancestral land is motivated by greed, Arabs royalty game hunting as well as jealousy - why do they have so much land yet we have nothing? @SuluhuSamia Government is wrong.Taking away 1500SKM to give way for hunting is evil @UN
164
258
1K
John Joseph Pombe Magufuli(Model). Retweeted
@festosangatz
FESTO RICHARD SANGA
11 days ago
Saa 2:55 asubuhi, Dakika 5 kabla ya Bunge kuanza. Nawahi DUA ya Bunge, hakuna jambo zuri kama kuanza kazi kwa sala. Jifunze sanaa kuwahi eneo la kazi na kulifanyia sala, sala ni ulinzi. Maandiko yanasema popote utakapo pakanyaga atapabariki, ni kupitia sala tunapata mibaraka.
Tweet media one
Tweet media two
3
2
40
John Joseph Pombe Magufuli(Model). Retweeted
@mdudechadematz
Mdude Chadema
11 days ago
@fatma_karume Ni sawa lakini tujikite kutetea haki za watu bila kujali aliyefanyiwa hivyo ni ccm au mpinzani ama hana chama. Jukumu letu ni kuhakikisha haki za watu zinalindwa bila kujali tofauti zao za kisiasa.
5
6
84
John Joseph Pombe Magufuli(Model). Retweeted
@ZanzibariYetu
Salma Said
13 days ago
Sijafurahishwa na kitendo alichofanyiwa kada wa CCM,Baraka Shamte leo Juni 12 kuchukuliwa na kurejeshwa akiwa hali mbaya ametapika damu sana amevimba mikono na miguu na sasa amelazwa Hospitali kwa matibabu. Kwa nini mtu apigwe na kuteswa hakuna hatua za kuwajibishwa kama kakosea?
Tweet media one
43
87
293
John Joseph Pombe Magufuli(Model). Retweeted
@mdudechadematz
Mdude Chadema
12 days ago
Sisi tutapambana kuhakikisha ardhi ya Maasai inayouzwa kwa waarabu na SHH inarudi. Haijalishi itachukua muda gani na wangapi tutaumizwa au kupotezwa ama kuuwawa. Tutashinda hii vita kwa kuwa upande wao wako na Mwarabu sisi upande wetu tuko na MUNGU Mwenyezi. Wote tuseme Amen🙏🙏
Tweet media one
69
75
626
John Joseph Pombe Magufuli(Model). Retweeted
@AfricaFactsZone
Africa Facts Zone
13 days ago
Tanzania's Government is evicting Maasai people from their ancestral land in Ngorongoro District to make way for a game reserve, and trophy hunters from UAE according to Survival International. Paramilitary forces are reportedly executing the eviction.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
802
7K
9K
John Joseph Pombe Magufuli(Model). Retweeted
@cw_pedro
CWPedro
20 days ago
Mitandao ina nguvu sana. Usipime.
8
4
36
John Joseph Pombe Magufuli(Model). Retweeted
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
19 days ago
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
31
155
John Joseph Pombe Magufuli(Model). Retweeted
@TheEconomist
The Economist
19 days ago
Many Somalis and their country’s foreign allies have welcomed the return of the seasoned Hassan Sheikh Mohamud as the man to fix the violent mess. We asked him if he can do so
3
4
32